Wednesday, September 7, 2011

WASHIRIKI VODACOM MISS TANZANIA 2011 WAJIFUNZA KUENDESHA JEEP PATROIT


Afisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors, Graciano Mfuse, akiwapa maelezo baadhi ya warembowanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kablaya kuanza mafunzo rasmi ya namna ya kuendesha gari aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh milioni 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo
Mlimani City Dar es Salaam Septemba 10.  Pichani juu:Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania, Alexia William akimsikiliza Afisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors, Magdalena Mpeku, akimpa maelezo namna ya kuendesha gari la aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh milion 72 ambaloVodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa. 
Baadhi ya magari yaliyotumiwa kuwafundisha walimbwende wa Vodacom Miss Tanzania katika Ufukwe za Coco Beach.

No comments: