Mwanadada aliyeibuka mshindi katika Shindano la Bongo Star Search (BSS) 2010, Mariam Mohammed juzikati alinaswa akiwa katika mazingira ya kimahaba na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
Mariam na njemba huyo walinaswa ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam wakati Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’ ikiporomosha burudani.
No comments:
Post a Comment