Friday, May 6, 2011

RAISI OBAMA AWAPONGEZA WANAJESHI WAKE:

Raisi wamarekani barack obama amewapongeza wanajeshi wake kwa kufanikisha kumuua gaidi wa kimataifa Osama bin Laden,Obama amesema"Ni tukio la kishujaa kwa marekani na dunia nzima,lazima lipongezwe pia nihatua kubwa katika kutafuta amani ya dunia"alisema hayo akihutubia maelfu ya wanajeshi  katika kambi  Fort Campbell in Kentucky, na kukutana na wanajeshi waliofanikisha tukio hilo.  

No comments: