Friday, May 6, 2011
WANAMUZIKI WA MAREKANI WATOA MSAADA KWA JAPAN
Wanamuziki nguli duniani akiwemo mwanadada Rihana, Niki minaji pamoja na Eminem ni miongoni ya waliochangia kiasi cha dola milion 5.pia wameachia ngoma kali kuhusiana na tukio hilo ambayo imeachiliwa rasmi tarehe 4,april nampaka sasa kopi laki5 zimeisha uzwa na kuingiza dola milion 4.Tetemeko la ardhi lililosababishia milipuko kwenye mitambo ya nyuklia na kusababisha maafa makubwa ni moja kati ya janga kubwa lililo ikumba japan kwa miaka ya hivi karibuni.
Labels:
news
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment